Loading...
title : TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI
link : TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI
TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI
Meneja Masoko na Uwekezaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS),Mariam Kobelo mapema leo asubuhi akigawa Vipeperushi kwa Wakazi wa Dar es Salaam ambao wanafanya safari ya kutembelea Msitu wa Asili wa Amani uliopo Muheza mkoani Tanga ,Safari hiyo ambayo imeratibiwa na TFS imewakutanisha wadau mbalimbali kwenda kujionea mazao ya Misitu
Baadhi ya Wadau waliopo katika safari hiyo wakipitia majarida yanayoelezea Msitu wa asili wa Amani na Vivutio vyake.
Baadhi ya Wanafunzi waliojumuika katika Safari hiyo wakisoma Makala mbalimbali zilizomo kwenye Jarida linalozungumzia Msitu wa asili wa Amani.
Baadhi ya Wadau waliopo katika safari hiyo wakipitia majarida yanayoelezea Msitu wa asili wa Amani na Vivutio vyake.
Wadau wakiw akatika basi tayari kwa ajili ya Safari kuelekea Tanga kutembelea msitu wa asili wa amani
Hivyo makala TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI
yaani makala yote TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/tfs-na-wadau-waanza-safari-ya-kutembele.html
0 Response to "TFS NA WADAU WAANZA SAFARI YA KUTEMBELE A MSITU WA ASILI WA AMANI"
Post a Comment