Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA
link : MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro waakimkabidhi zawadi ya fedha mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ingri Juu Wilayani Rorya baada ya kujibu swali wakati alipokuwa akiwasili wilayani hapo kuendelea na  Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe Simon Chacha wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa, Wakaguzi na askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya baada ya kuzungumza nao wakati alipokuwa akiendelea na Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akikagua boti za Polisi zilizopo katika kituo cha Polisi wanamaji Sota Wilayani Rorya alipokuwa akiendelea na Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji cha Sota Wilayani Rorya mkoani Mara Ramadhani Said wakati wa Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe Simon Chacha na Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya  SACP Henry Mwaibambe (Picha na Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakazi wa Kiabakari Wilaya ya Butiama mkoani Mara wakati wa Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi)




Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/matukio-katika-picha-igp-sirro-afanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA IGP SIRRO AFANYA ZIARA WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA"

Post a Comment

Loading...