Loading...

WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA

Loading...
WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA
link : WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA

soma pia


WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akipokea salaam ya heshima kutoka kwa gadi maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake ikiundwa na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akikagua gadi ya heshima iliyoandaliwa kwa ajili yake alipofanya ziara ya kikazi katika Jeshi la Magereza leo Julai 11,2018 jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akisalimiana na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza mara baada ya kukagua gwaride maalum. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa na aliyeshikanaye mkono ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Musa Kaswaka.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiwa Makao Makuu ya Jeshi hilo kabla ya kuendelea na ziara yake katika Kiwanda cha Seremala gereza Kuu Ukonga, Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji na baadaye kuongea na Maafisa na askari Bwalo Kuu la Maafisa Ukonga. Picha zote na Jeshi la Magereza


Hivyo makala WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA

yaani makala yote WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-kangi-lugola-aanza-ziara-yake-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA"

Post a Comment

Loading...