Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA
link : MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

Mwambawahabari
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akisalimiana na watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wananchi wakiwa katika maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akitembelea mabanda mbalimbali wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akimsikiliza Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akisoma gazeti la Uhuru wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia samaki walioandaliwa tayari kwa kitoweo wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia bwawa la kisasa la kufugia samaki wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia nguo zinazotengenezwa na wawekezaji wa Ukanda Maalum wa Uzalishaji wa Bidhaa kwa Mauzo ya Nje wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Shirika la Posta wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (Standard Gauge) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akizungumza na watumishi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Picha na MAELEZO




Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/matukio-katika-picha-za-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA"

Post a Comment

Loading...