Loading...
title : MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI
link : MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI
MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza katika kikao kilichowakutanisha Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, baada ya kuwasili jijini hapo kwa ziara ya kikazi.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya, Mratibu wa Polisi, Leopard Fungu, baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na Kamanda wa Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi, Fortunatus Musilimu (wakwanza kulia), baada ya kuwasili jijini Mbeya leo kwa ziara ya kikazi.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwele, akimuongoza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kusalimiana na wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege Songwe, baada ya kuwasili jijini Mbeya, leo kwa ziara ya kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI
yaani makala yote MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mawaziri-wawili-wawasili-mbeya.html
0 Response to "MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI"
Post a Comment