Loading...
title : NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
link : NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
Afisa Habari wa RITA Jaffar Malema akiendelea na zoezi la kuita majina kwa ajili kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Wananchi waliojitokeza katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho ya Taifa (NIDA) kwa ajili ya kujipatia huduma za vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Wananchi waliojitokeza katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kwa ajili ya kujipatia huduma ya vitambulisho vya Taifa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
yaani makala yote NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/nida-na-rita-waendelea-kutoa-huduma.html
0 Response to "NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA"
Post a Comment