Loading...

Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia

Loading...
Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia
link : Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia

soma pia


Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe (19) ameonyesha moyo wa kipekee baada ya kutoa msaada fedha zote alizopata kwenye michinuano ya kombe la dunia dola 550,000 sawa na bilioni 1.2 za Kitanzania kwa kituo kinachotoa huduma ya michezo kwa watoto wenye ulemavu.


Mbappe ametoa kiasi hicho cha dola za Kimarekani 550,000 ambazo zinatokana na posho pamoja na ‘bonus’ ya ushindi wa kombe la dunia mwaka huu 2018.

Mchezaji huyo amefunga jumla ya mabao manne kwenye michuano hiyo akiitumikia timu yake ya taifa ya Ufaransa ametoa fedha hizo kwenye kituo cha Premiers de Cordee kinacho husika na kutoa bure huduma za michezo kwa watoto wasio na uwezo wa kumudu gharama pamoja na wanamichezo watoto wenye ulemavu.

Kwa mujibu wa kituo cha habari cha L’Equipe cha Ufaransa kimeeleza kuwa Mbappe hajabakiza hata kiasi kidogo cha fedha hiyo aliyopata kwenye kombe la dunia ambayo ni dola 22,500 kwa michezo iliyoshiriki timu ya Ufaransa na dola za Kimarekani 350,000 kama ‘bonus’ baada ya Les Bleus kushinda taji baada ya kuifunga Croatia jumla ya mabao 4 – 2.


Hivyo makala Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia

yaani makala yote Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mbappe-agawa-mabilioni-aliyopewa-baada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbappe agawa mabilioni aliyopewa baada ya ushindi wa kombe la dunia"

Post a Comment

Loading...