Loading...
title : MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS
link : MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS
MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Mbunge wa kuteuliwa Mama Janeth Masaburi amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya barabara katika jimbo la Segerea ambapo amekagua Barabara ya seminary kuelekea Majumba sita na kujionea uharifu mkubwa katika barabara hiyo ikiwemo mifereji.
Mama Masaburi ametumia fursahiyo kuzikumbusha mamlaka zinazohusika na barabara kuitengeneza barabara hiyo kwakuwa imo katika ahadi za Rais zilizotowa wakati wa uchaguzi mkuu 2015.
“Mheshimiwa Rais akiwa katika kampeni zake wakati huo katika eneo la Vingunguti aliahaidi kuwa ataijenga barabarahiyo kwa kiwango chalami mimi niwakumbushe tu TARURA waiangalie na waweze kuitengeneza hali nimbaya.
Aidha Mama masaburi amesema amefanya ziara hiyo ili kusikiliza kero za wananchi na kueleza kuwa wananchi wa eneo hilo wamekuwa wakimwomba marakwa mara awasaidie kuhusu matengenezo ya barabara hiyo.
“kilasiku nikipita hapa nasimamishwa na wananchi kwa suala hili , namshukuru mkuu wa majeshi alitusaidi kujenga hii mifereji na kutia kifusi lakini sasa imeharibika sana” alisema
Katika haua nyingine Mbunge huyo amempongeza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo kununua Ndege mpya , ujenzi wa miundombinu ya barabara za kisasa (fly over) Reli ya standard gauge na miradi mingine ya huduma za kijamii.
Nao baadhi ya wananchi wa eneo hilo wamemshukuru mbunge huyo kwa kwa kufika kujione barabara hiyo na kusikiliza kero zao huku wakiishukuru serikali kwa kuwa tatulia baadhi ya changamoto ikiwemo maji na umeme.
Hivyo makala MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS
yaani makala yote MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mbunge-janeth-masaburi-akagua-barabara.html
0 Response to "MBUNGE JANETH MASABURI AKAGUA BARABARA JIMBO LA SEGEREA, AKUMBUSHA AHADI YA RAIS"
Post a Comment