Loading...
title : MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.
link : MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.
MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.
Mvua kubwa yenye ukungu uliopita kiasi, radi na ngurumo za kutisha, juzi vilisitisha mazoezi ya mabingwa wa Tanzania, Simba.
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems alilazimika kusitisha mazoezi na kuondoa kikosi chake uwanjani wakati wa mazoezi ya asubuhi kutokana na mvua hiyo kubwa.
Hali ya hewa ilianza kubadilika taratibu wakati Simba wakijifua na ukungu ukaanza kutanda ukiwashangaza wachezaji na benchi la ufundi.
Lakini ghafla, wakati mazoezi yakiendelea mvua kubwa ilianza kunyesha na kusababisha kocha huyo Mbelgiji kusitisha mazoezi.
Kocha mpya wa viungo wa Simba, Adel Zrane alishindwa kuendelea na kazi yake ikiwa ndiyo siku ya kwanza ameanza kazi.
Aussems aliwaambia wachezaji wake, mazoezi ya jana jioni wangeangalia hali ya hewa. Kama bado ingeendelea kutishia amani, basi ratiba ingebadilika na kuwa gym kwa kuwa katika eneo la Kartepe gym iko katika vyumba vilivyo chini ya ardhi yani underground
Hivyo makala MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI.
yaani makala yote MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mvua-kubwa-yavunja-mazoezi-ya-simba.html
0 Response to "MVUA KUBWA YAVUNJA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI."
Post a Comment