Loading...

NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO

Loading...
NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO
link : NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO

soma pia


NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO

NA ELISA SHUNDA,BAGAMOYO 

UMOJA wa wazazi Taifa wa Chama cha Mapinduzi CCM, umeahidi kuendelea kusaidia kuboresha chuo cha Kilimo na ufugaji cha Kaole ili kiendane na hadhi ya kuwa chuo bora kitakachotambulika kitaifa na kimataifa, pamoja na kuendana na kasi ya serikali ya awamu ya Tano kwa kuelekea kwenye manufaa ya uchumi wa viwada nchini.

Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Taifa kutoka Zanzibar, Najma Murtaza Giga alipokuwa mgeni rasmi katika mahafari ya tatu ya chuo hicho yaliyofanyika Chuoni kaole-Bagamoyo mkoani Pwani.

Giga ambaye pia ni Mbunge na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge kwenye bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, amewapongeza walimu na watumishi mbalimbali waosimamia chuo hicho kwa kufanya kazi kwenye werefi mkubwa wa kuongeza idadi ya wahitimu katika chuo hicho kwa mwaka huu kufikia 108 tofauti na mwaka jana ambao wahitimu walipungua kufikia 72.

‘’ki ukweli chuo chetu kinachosimamiwa na umoja wa wazazi Taifa wa chama cha mapinduzi CCM, kinapaswa kijitangaze na kipewe sapoti kubwa hasa kwa wazaz, walezi, wadau na serikali kwa ujumla ili kiwe na hadhi kama vyuo vingine na kiiendane na kasi ya serikali ya awamu ya tano ya Dr. John Magufuli” alisema Giga.

Akizungumzia kuhusiana na suala la ajira katika serikali ya awamu ya tano, Giga aliwataka wanafunzi wanaosoma chuoni hapo na wale waliohitimu kwamba wasiwe na wasiwasi kuhusiana na suala hilo kwani najira kwao itapatikana pia hakusita kuwatakawanafunzi hao kwamba wasikimbilie kuajiriwa peke yao bali wahakikishe wanakuwa na m binu mbadala wa kujiajiri na kutoa elimu hiyo kwa vijana wengine waliopo mitaani.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kutoka Zanzibar,Najma Murtaza Giga (katikati) akimkabidhi cheti cha Stashahada cha Kuhitimu Mafunzo ya Kilimo na Ufugaji,Rais wa Chuo cha chuo cha Kilimo na ufugaji cha Kaole,Glorious Kalabamu (kushoto) katika Mahafali ya tatu ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana. Kulia ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi la CCM Mkoa wa Pwani,Dk.Zainab Gama na Mkuu wa Chuo hicho,Sinami Simba. Picha zote na Elisa Shunda
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kutoka Zanzibar,Najma Murtaza Giga (katikati) akimkabidhi cheti cha Stashahada cha Kuhitimu Mafunzo ya Kilimo na Ufugaji,Rais wa Chuo cha chuo cha Kilimo na ufugaji cha Kaole,Asnat Kasukuru (kushoto) katika Mahafali ya tatu ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana. Kulia ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi la CCM Mkoa wa Pwani,Dk.Zainab Gama na Mkuu wa Chuo hicho,Sinami Simba (mwenye shati la bluu).
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kutoka Zanzibar,Najma Murtaza Giga (katikati) akiwaongoza wahitimu kuingia katika viunga vya chuo kuanza sherehe za mahafali hiyo.



Hivyo makala NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO

yaani makala yote NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/naibu-katibu-mkuu-jumuiya-ya-wazazi-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO"

Post a Comment

Loading...