Loading...

NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini

Loading...
NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini
link : NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini

soma pia


NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini




Mwamba wa habari
Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya watahiniwa kumi na tatu kutokana na sababu kadhaa na wengine nane kufutiwa kabisa matokeo kwa sababu ya udanganyifu.

Akitaja sababu za kuzuiwa kwa matokeo hayo, Katibu mtendaji wa baraza hilo Dkt. Charles Msonde wakati akitangaza matokeo hayo leo visiwani Zanzibar, amesema kuwa kuna baadhi ya watahiniwa walishindwa kukamilisha mitihani yao kutokana na sababu za kiafya na hivyo kufanya mitihani nusu, watapewa nafasi ya kurudia mwaka unaofuata.

Licha ya hiyo, Dkt. Msonde amesema kuwa ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 96.06% mwaka 2017 hadi 97.12% mwaka huu, huku ufaulu katika masomo ya sayansi umeshuka ukilinganishwa na masomo ya sanaa na biashara.

“Jumla ya watahiniwa 83,581 sawa na asilimia 97.58 ya watahiniwa waliofanya mitihani ya kidato cha sita Mei mwaka huu wamefaulu huku wasichana wakiwa ni 34,358, na wavulana waliofaulu ni 49,223 pekee”, amesema Dkt. Msonde.

Dkt. Msonde ameongeza kuwa tathmini ya hali ya matokeo imeonesha kuimarika kwa ufaulu katika madaraja ya I,II na III ikiwemo kupanda kwa asilimia 1.80 kutoka 93.72 mwaka 2017 na kuwa asilimia 95.52 mwaka 2018.

Shule zilizofanya vizuri zimetajwa kuwa ni Kibaha, Kisimiri, Kemebos na Mzumbe, Feza Boys, Marian Boys, AHMES, St Mary's Mazinde Juu, Marian Girls & Feza Girls.



BONYEZA LINK HAPA CHINI



Hivyo makala NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini

yaani makala yote NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/necta-yatangaza-matokeo-ya-kidato-cha_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2018,yafuatilie hapa chini"

Post a Comment

Loading...