Loading...
title : NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA
link : NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA
NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA
Shirika la Taifa la Hifadji ya Jamii(NSSF) limejipanga kutoa pensheni ya Uzeeni kwa watanzania wote walio katika sekta rasmi na sekta isiyo rasmi
Hayo yalisemwa katika mkutano baina ya NSSF na viongozi wa vikundi vya uzalishaji mali Mkoani Morogoro jana. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe uliofanyika katika ukumbi wa NSSF Mafao Haouse
Akizungumza katika mkutano huo Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliwaasa wale wote walio katika sekta isiyo rasmi kama vile Mama Lishe, bodaboda, wafugaji, wakulima n.k kubadili mtazamo wa maisha ili kuepukana na changamoto za uzeeni kwa Kujiunga na NSSF kwani watapata pensheni ya uzeeni kama wale walio katika sekta rasmi
Nae Mweneykiti wa Kamati ya kuratibisha Hifadhi ya Jamii kwa sekta isiyo rasmi Bi Mariam Muhaji alisema, pensheni ya uzeeni ni haki ya kila Mtanzania hivyo ni wakati sasa kwa wale wote walio katika sekta isiyo rasmi kujiunga na NSSF ili kufaidika na Mafao mbalimbali yatolewayo ikiwemo pensheni ya uzeeni.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Vikundi vya uzalishaji mali Mkoani Morogoro.
Meneja wa NSSF Shinyanga Ndugu Omary Mziya akizungumzia kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii wakati wa Mkutano na Viongozi wa Vikundi mbalimbali vya uzalishaji mali Mkoani Morogoro

Viongozi mbalimbali wa Vikundi wakiwa katika mkutano ulioratibiwa na NSSF kwa ajili ya elimu kuhusu Hifdahi ya Jamii kwa sekta isiyo rasmi
Hivyo makala NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA
yaani makala yote NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/nssf-kutoa-pensheni-ya-uzeeni-kwa-wale.html
0 Response to "NSSF KUTOA PENSHENI YA UZEENI KWA WALE WOTE WALIO SEKTA ISIYO RASMI PINDI WATAKAPOKUWA WANACHAMA"
Post a Comment