Loading...

Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza

Loading...
Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza
link : Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza

soma pia


Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kushoto) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza kwa safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudh wakati wa mapokezi  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari  maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Viongozi mbali mbali  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Uingereza akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali   katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono Wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa Mvali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.


Hivyo makala Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza

yaani makala yote Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-dk-shein-arejea-nchini-akitokea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza"

Post a Comment

Loading...