Loading...

Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba

Loading...
Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba
link : Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba

soma pia


Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba

 Msaidizi mkuu wa Idara Makumbusho na mambo ya Kale Pemba, Salim Seif Salim, akitowa maelezo juu ya historia ya makumbusho yalioko katika eneo la Mkumbuu Pemba.


PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.

 Ofisa mdhamini Wizara ya habari ,Utalii na mambo ya kale Pemba, Khatib Juma Mjaja , akitowa maelezo juu ya magofu yalioko katika eneo la Mkuumbuu Ndagoni Pemba, mbele ya Waziri wa Wizara hiyo Mahammoud

Thabit Kombo alipotembelea ebeo hilo.



PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

 Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Mahammoud Thabit Kombo, akingalia mawe ya Seledon na Sesenian ambayo yalitumika kwa ajili ya mji wa Mkumbuu Pemba katika

karne ya 7 hadi ya 9.



Waziri wa habari Utalii na mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Mahammoud Thabit Kombo, akipata maelezo ya Gofu la Msikiti mkuu uliko katika eneo la Mkumbuu Pemba, kutoka kwa Msaidizi mkuu wa
Idara ya Makumbusho na mambo ya kale Pemba, Salim Seif Salim.


PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.




Hivyo makala Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba

yaani makala yote Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-habari-utalii-na-mambo-ya_26.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Habari , Utalii na Mambo ya Kale atembelea maeneo ya kihistoria kisiwani Pemba"

Post a Comment

Loading...