Loading...
title : Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum
link : Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum
Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/201
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
VIONGOZI mbali mbali wakimpungia mkono wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu.] 06/07/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum
yaani makala yote Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-dk-shein-safarini-uingereza-katika.html
0 Response to "Rais Dk Shein safarini Uingereza katika ziara maalum"
Post a Comment