Loading...
title : RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA
link : RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA
RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya TIPER Profesa Abdulkarim Mruma katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Maendeleo ya Biashara (TANTRADE) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Bw. Edwin Rutageruka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mfuko wa Misitu Tanzania akiwa na Katibu Dkt. Tuli Salum Msuya katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na (EWURA) Maji Profesa Jamidu Kamika akiwa na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa EWURA Bw. Nzinyangwa Mchani katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekliti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Profesa Rutasitara akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Balozi Ben Moses akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa TFDA Bi. Agnes Kijo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Viwango (TBS) Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko akiwa na Mkuruigenzi wa TBS Profesa Egird Mubofu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Profesa Ignas Rubaratuka aliye pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Kakoko katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakipata picha ta pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumua ya Bunge ya Uwekezaji wa Mtaji wa Umma baada ya kupokea magawio kutoka katika taasisi, mashirika na Makampuni ya Umma katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018. Picha na IKULU
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-apokea-magawio-toka.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA"
Post a Comment