Loading...
title : RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) aliowatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akipatiwa muhtasali na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli Luteni jenerali Paul Massao wakati wa hafla ya hafla ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mafunzo wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Sehemu ya Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) waliotunukiwa kamisheni na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018.



Kikosi cha gwaride la kimya kimya kikitumbuiza wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni kwa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watunukiwa baada ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiondoka eneo la gwaride baada ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Hivyo makala RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-na-amiri-jeshi-mkuu-dkt-magufuli.html
0 Response to "RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment