Loading...
title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete
link : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo Julai 21, 2018
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpka pole mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama salma Kikwete, kwa kufiwa na baba yake mzazi Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na wanafamilia wakiomba dua walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na ndugu wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na ndugu wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na ndugu wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Vijana wa madrassa na waalimu wao wakimwangalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam leo Julai 21, 2018
Picha na IKULU
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_21.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Atoa Mkono wa Pole Kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Kikwete Kwa Kufiwa na Baba Mkwe Mzazi wa Mkewe Mama Salma Kikwete"
Post a Comment