Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kushoto) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza kwa safari maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudh wakati wa mapokezi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Viongozi mbali mbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Uingereza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara wa Chama na Serikali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Uingereza akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali katika safari maalum. Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_26.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein arejea"
Post a Comment