Loading...

RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA

Loading...
RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA
link : RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA

soma pia


RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo Julai 07,2018 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili asubuhi ya leo uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere,  ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba na kuukabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema kwaajili ya kuanza shughuli ya uzinduzi wa miradi ya maendeleo.

Makonda ameeleza kuwa Mwenge wa Uhuru utakuwa Jijini Dar es salaam kwa Muda wa siku tano ambapo utazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi 38 yenye thamani ya Shillingi Billion 33.4.

Aidha Makonda amesema katika miradi itakayozinduliwa kupitia mbio za mwenge, miradi 16 itazinduliwa, Miradi 14 itawekewa mawe ya msingi na Miradi 8 itatembelewa.Mwenge wa Uhuru umeanza kwa kukimbizwa Wilaya ya Ilala na baada ya hapo utaenda Wilaya za Kigamboni, Kinondoni, Ubungo na kumalizia na Wilaya ya Temeke.

Akikabidhi mwenge huo kwa kwa mkuu wa wa Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Seleman Abdallah ameshukuru uongozi wa Mkoa kwa kuwa nao pamoja katika shughuli nzima ya mapokezi ya mwenge na amewatakia kila la heri kati mbio hizo.Naye msimamizi na mkimbiza mwenge taifa Charles Fransis Kabeho amewashukuru wakazi waliojitokeza na amehaidi kufikisha ujumbe wa mwenge katika jiji la Dar es salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,(kulia)akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba,Hemed Suleiman Abdallah leo katika uwanja wa ndege Mwalimu Nyerere jijini Dar as Salaam.(picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akimkabidhi mwenge wa Uhuru kwa mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema kwa ajili ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeo katika wilaya hiyo.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018,Ndugu Charles Kabeho akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kivule (picha na Emmanuel Massaka wa MMG)

Semu ya viongozi mbalimbali wakiwa katika uwaja wa ndege Mwalimu Nyerere kuupokea mwenge wa Uhuru ulikua ukitoka Pemba Zanzibar.



Hivyo makala RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA

yaani makala yote RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rc-makonda-apokea-mwenge-wa-uhuru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA"

Post a Comment

Loading...