Loading...
title : "RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
link : "RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
"RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wanahabari baada ya kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 30, 2018
Wafanyakazi katika wa TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
m
Wafanyakazi katika wa TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akikaribishwa kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
m
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo walipotembekea TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Hivyo makala "RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote "RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala "RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rudi-nyumbani-kumenoga-ttcl-corporation.html
0 Response to ""RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment