Loading...
title : SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI.
link : SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI.
SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI.
Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi yake katika kambi maalum waliyoweka nchini Uturuki.
Chini ya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems, Simba wameendelea kujifua kwa kiwango cha juu huku kocha huyo akionyesha amelenga kutengeneza hali ya uimara ya miili.
Wachezaji wa Simba walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa milima ya Kartepe nchini Uturuki.
Hivyo makala SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI.
yaani makala yote SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/simba-yaendelea-kujifua-uturuki.html
0 Response to "SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI."
Post a Comment