Loading...
title : UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU.
link : UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU.
UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU.
NA Agness Francis ,globu ya jamii
Baraza la michezo (BMT) linatangaza kufanya uchaguzi wa chama cha gofu Tanzania (TGU)
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika agosti 18 mwaka huu katika klabu ya viwanja vya gymkhana mkoani Morogoro.
Ambapo fomu zitatolewa bure katika ofisi za baraza zilizopo uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam au kupatikana kwenye tovuti ambayo ni wwwnationalsportscouncil,Fomu hizo zitaanza kuchukuliwa kuanzia tarehe 26 hadi 18 agosti mwaka huu,ambapo usajili utafanyika siku moja kabla ya uchaguzi huo.
Nafasi zinazogombaniwa ni Rais,makamu wa rais,katibu wa heshima,muweka hazina,katibu mashindano,handicap Secretary.
Sifa zinazohitajika kwa mgombea ni awe raia wa Tanzania ,awe mzoefu wa uongozi pamoja na taaluma za uongozi wa mazoezi,awe na ujuzi wa mchezo wa gofu,awe hajatenda kosa lolote la jinai.
Hivyo makala UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU.
yaani makala yote UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/uchaguzi-wa-chama-cha-gofu-tanzania.html
0 Response to "UCHAGUZI WA CHAMA CHA GOFU TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 18 MWAKA HUU."
Post a Comment