Loading...
title : UINGEREZA NJE!!
link : UINGEREZA NJE!!
UINGEREZA NJE!!
Mojawapo ya mbwembwe za mashabiki 10,000 wa Uingereza, wengine wakiwa wamevalia visibao kama kocha wao, ziliisha usiku huu ambapo badala ya kurudisha mwali nyumbani inabidi warudi labda na ushindi wa tatu
Croatia usiku huu imekuwa nchi 'tofauti' ya 13th kutinga fainali ya Kombe la Dunia la soka na ya 10 kutoka Ulaya kwa kuipiga Uingereza goli 2-1 katika dakika 120 baada ya kufungana 1-1 katika dakika 90 za kawaida. Shujaa wa Croatia yenye watu milioni 4 alikuwa ni huyo Mario Mandzukic aliyetia kimiani bao katika dakika ya 11 kabla ya filimbi ya mwisho kwa pasi tamu ya kichwa toka kwa Ivan Perisic.
Hivyo makala UINGEREZA NJE!!
yaani makala yote UINGEREZA NJE!! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UINGEREZA NJE!! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/uingereza-nje.html
0 Response to "UINGEREZA NJE!!"
Post a Comment