Loading...

UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI.

Loading...
UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI.
link : UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI.

soma pia


UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI.


Shirikisho la Soka la Ujerumani (DFB), limekana kuhusika na tuhuma za ubaguzi dhidi ya mwanasoka, Mesut Özil (29) na kusema kuwa lilipaswa kuwajibika kuhakikisha mchezaji huyo habaguliwi. Özil ametangaza kutoichezea tena timu ya taifa ya Ujerumani kutokana na kukithiri kwa vitendo na maneno ya kibaguzi dhidi yake.

Özil alishutumiwa na DFB kupitia vyombo vya habari vya Ujerumani baada ya picha akiwa na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan kusambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Mchezaji huyo wa Klabu ya Arsenal FC alishutumiwa zaidi baada ya Ujerumani kutolewa katika hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia.

DFB limekiri kwamba huenda halikulishughulikia suala hilo ipasavyo, na kuongeza kuwa linasikitisha kuwa Mesut Ozil amehisi hakulindwa vya kutosha dhidi ya kauli za kibaguzi Ujerumani haikubaliani na mwenendo wa nchi ya Uturuki hasa baada jaribio la mapinduzi kukwama. Maelfu ya watu wanashikiliwa na Serikali huku wengine wakiachishwa kazi


Hivyo makala UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI.

yaani makala yote UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ujerumani-yakana-tuhuma-za-ubaguzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJERUMANI YAKANA TUHUMA ZA UBAGUZI."

Post a Comment

Loading...