Loading...

WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI.

Loading...
WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI.
link : WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI.

soma pia


WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI.


Wakati kikosi cha Simba kikiwa Uturuki kwa ajili ya kambi maalum ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, wachezaji wengine wanatarajiwa kukwea pipa kesho Jumatano.

Wachezaji hao ni Meddie Kagere aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia FC, Haruna Niyonzima na Erasto Nyoni ambao viza zao za kusafiria zilichelewa kukamilika.

Kuchelewa kwa viza zao kulisababisha washindwe kwenda na kikosi kilichosafiri Jumapili hivyo ikabidi wasalie nchini mpaka pale taratibu nzima za kuzikamilisha zitakapomalizika.

Kikosi hicho kipo Instabul kikijifua kwa maandalizi ya tamasha la Simba litakalofanyika Uwanja wa taifa, Dar Es Salaam, Agosti 8 2018 kama ilivyo ada.

Simba hufanya tamasha hilo maalum kuwatambulisha wachezaji wao watakaokuwepo kwenye kikosi cha msimu wa 2018/19.


Hivyo makala WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI.

yaani makala yote WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wachezaji-watano-simba-kukwea-pipa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WACHEZAJI WATANO SIMBA KUKWEA PIPA UTURUKI."

Post a Comment

Loading...