Loading...
title : UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA
link : UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA
UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA
UONGOZI wa Yanga umemtambulisha kiungo mahiri Mohamed Banka aliyekuwa anakipiga katika kikosi cha Mtibwa Sugar.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga Hussein Nyika amesema kuwa Banka amesaini kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kutumikia kikosi cha wana jangwani hao.
Amesema kuwa, wamemsajili Banka kwa mapendekezo ya kocha kwani aliweza kumfuatilia kipindi cha ligi kuu.
Kwa upande wa Banka mwenyewe amesema kuwa amekuja Yanga kucheza mpira na kuirjesha Yanga katika viwango vyake.
Banka amesema anajua kuwa kuna ushindani wa namba hasa kwa timu kubwa kama Yanga ila kikubwa ni mazoezi tu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano wa Yanga Hussein Nyika akiwa pamoja na Kiungo Mohamed Banka baada ya kutambulishwa pembeni ni Meneja wa timu Hafidh Saleh.
Hivyo makala UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA
yaani makala yote UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/uongozi-yanga-watambulisha-mohamed-banka.html
0 Response to "UONGOZI YANGA WATAMBULISHA MOHAMED BANKA"
Post a Comment