Loading...

WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI

Loading...
WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI
link : WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI

soma pia


WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Wahasibu watatu wa shirika la Mawasiliano Tanzania, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za wizi wakiwa watumishi na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya sh milioni 57

Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi, Patrick Mwita, amewataja washtakiwa hao kuwa ni, Mercy Semwenda (49) Flora Bwahawa (54) na Hawa Tabuyanja(54).

Mbele Hakimu Mkazi, Augustine Rwizile imedaiwa, mshtakiwa Semwenda peke yake anadaiwa, kati ya Januari Mosi mwaka 2017 na Septemba 21 mwaka 2017 jijini Dar es Salaam, aliiba vocha za muda wa maongezi za TTCl zenye thamani ya sh 44,393,000/ pamoja na fedha za mauzo ya Vocha zenye thamani ya sh milioni 5,914000/

Imedaiwa kuwa, mshtakiwa alifanya uwizi huo kutokana na kamba alikuwa mfanyakazi wa TTCL kama Mhasibu.Katika shtaka la pili imedaiwa, siku na mahali hapo, washtakiwa wote, waliisababishia Shirika la Mawasiliano Tanzaniq, (TTCL), hasara ya sh. Milioni 57,773,122.

Hata hivyo, washtakiwa hao hawakuruhusiwa kujibu kitu chochote mahakamani hapo kwa kuwa mahakamani hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za uhujumu uchumi hadi Mahakamani kuu au kwa kupata kibali kutoka kwa DPP

Kufuatia hivyo, kesi imeahirishwa hadi Julai 24.2018 kwa ajili ya kuja kutajwa, kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika, watuhumiwa wote wamerudishwa rumande.

Wakili anayewatetea washtakiwa hao amedai, ingawa mashtaka dhidi ya washtakiwa hao yanadhamana lakini wameshtakiwa kwa sheria ya uhujumu uchumi, basi atafuata taratibu zote za kisheria kuomba dhaman Mahakama kuu.


Hivyo makala WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI

yaani makala yote WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wahasibu-watatu-shirika-la-mawasiliano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAHASIBU WATATU SHIRIKA LA MAWASILIANO WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA WIZI"

Post a Comment

Loading...