Loading...
title : ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI
link : ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI
ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdalah Sharia Amer, na mwenzake leo Julai 11, wamepandishwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za utapeli.
Mbunge Hugo anashtakiwa pamoja na Dr. Athumani Rajabu.
Akiwasomea hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Janet Magoho amedai mbele ya Hakimu Mkazi Hamisi Ally kuwa, washtakiwa qametenda kosa hilo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kati ya Julai 17 na Septemba 29 mwaka huu ndani ya Jiji la Dar es Salaam
Imedaiwa, siku hiyo washtakiwa hao kwa pamoja na kwa kudanganya walijipatia kutoka kwa Dr. Abdi Hirsi Warsame kiasi cha milioni 55 kwa kumdanganya kuwa wangemsambazia vifaa tiba vya hospitality huku wakijua kwa siyo kweli.
Hata hivyo, washtakiwa wote, wamekana kutenda kosa hilo na wamerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ambapo wametakiwa kuwa na wadhamini wawili watakaosaini bondi ya sh. M. 27.5 kila mmoja.
Pia ametakiwa kuwasilisha fesha taslimu kiasi cha Sh. 27.5 au kuwasilisha hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya kiasi hicho cha fedha.Kwa mujibu wa upande wa mashtaka, upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika na kesi hiyo imeahirisha hadi Julai 12 (kesho) kwa ajili ya dhamana.
Hivyo makala ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI
yaani makala yote ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/aliyekuwa-mbunge-dimani-zanzibar.html
0 Response to "ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA ZA UTAPELI"
Post a Comment