Loading...

Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali

Loading...
Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali
link : Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali

soma pia


Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali


Mwambawahabari
Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.



Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.





Mkemia toka Ofisi za Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma, Bi. Tupeligwe Mwaisaka akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.


]


Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33652" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) ambaye pia ni Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Utafutaji Madini Msc. ME, Bi. Dafroza Lyimo akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33653" align="aligncenter"

Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiagana na Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.



Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha (wa sita toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) ) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma).[/caption]​


Hivyo makala Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali

yaani makala yote Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wahitimu-coes-udom-wapewa-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wahitimu CoES - UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali"

Post a Comment

Loading...