Loading...

Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao

Loading...
Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao
link : Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao

soma pia


Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao


Na Benny Kisaka
Marehemu Profesa Maji Marefu alikuwa rafiki sana wa wanahabari, ambapo alikuwa mstari wa mbele katika kuwa karibu nao katika shida na raha.
Mfano mmojawapo ni mwezi Novemba mwaka 2003 ambapo baada ya kukawama kiuchumi marehemu alijitolea kudhamini safari ya kwenda Nairobi, kuripoti mchezo kati ya Taifa Stars na Kenya kwa kutoa usafiri, chakula na malazi. Hakusita kufanya hayo mara tu baada ya kuombwa.
Katika picha hii Profesa Maji Marefu (mwenye kibandiko mstari wa mbele) anaonekana akiwa na baadhi ya waandishi hao katika hoteli ya Safari Park jijini Nairobi  ambako Stars walifikia wakiwa chini ya kiongozi wa msafara katibu wa kamati ya Muda ya FAT( sasa TFF) wakati huo  Mwina Mohamed Seif Kaduguda.
Wanahabari hao ni Masoud Sanani, Aboubakar Liongo, Benny Kisaka, Ibrahim Bakari, Eric Anthony, Peter Mwenda, Oscar Mbuza, Somoe Ng'itu, Mashaka Mhando, Ezekiel Malongo, Jesse John, Michael Maluwe, Ndembeju na Emmanuel Muga (sasa wakili msomi).


Hivyo makala Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao

yaani makala yote Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wanahabari-wamkumbuka-profesa-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao"

Post a Comment

Loading...