Loading...
title : PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA
link : PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA
PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe cha ushindi wa jumla kipengele cha (Trade in Services Exhibitor) Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Masoud Alawi leo. Mara baada ya kutangazwa washindi katika uzinduzi wa maonesho ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya TANTREADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Masoud Alawi kushoto akiwa na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Leila Maingu na baadhi ya waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Masoud Alawi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi mara baada ya ushindi huo.

Hivyo makala PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/property-international-wafurahia.html
0 Response to "PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment