Loading...

HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018.

Loading...
HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018.
link : HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018.

soma pia


HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018.



Mwambawahabari 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018, na kutaja shule 10 zilizofanya vyema katika mtihani huo kwa shule zenye watahiniwa zaidi ya 40.Wakati shule binafsi zikifanya vyema, mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi katika mtihani huo ni wa shule ya sekondari Ilboru ya Arusha, Hope Mwaibanje.

Akitangaza matokeo hayo leo Alhamisi Januari 24, 2019 mkoani Dodoma katibu mkuu wa baraza hilo, Dk Charles Msonde amezitaja shule hizo kuwa ni St Francis Girls (Mbeya), Kemebos (Kagera), Marian Boys, Ahmes, Marian Girls (zote Pwani), Canossa, Bright Future Girls (zote Dar es Salaam), Maua Seminari (Kilimanjaro), Precious Blood (Arusha) na Bethel Sabs Girls (Iringa).

Katika matokeo hayo, watahiniwa 252 wamefutiwa matokeo kutokana na udanganyifu na kati yao, 71 ni wa kujitegemea huku wawili kati yao wakiandika matusi.

Wakati huo huo (Necta) imefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari ya Malinyi mkoani Morogoro baada ya kubaini shule hiyo kuvujisha mtihani huo.


Mbali na kufuta matokeo hayo, Necta imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani.

Hayo yameelezwa leo Alhamisi Januari 24, 2019 na Katibu Mkuu mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 mkoani Dodoma.

Amesema wameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.


Hivyo makala HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018.

yaani makala yote HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/hizi-hapa-shule-10-bora-matokeo-kidato.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HIZI HAPA SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018."

Post a Comment

Loading...