Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)link :
Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)
Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Mindi Kasiga Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipotembelea banda la Wizara.
Mhe. Mahiga akisikiliza maelezo kutoka kwa watumishi wa Wizara kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa
Mhe. Mahiga akiwa kwenye banda la kituo cha kumbi za mikutano cha kimataifa (AICC) kwenye maonesho ya biashara ya sabasaba. Mbele yake ni baadhi ya watumishi wa kituo hicho.
Mhe. Mahiga akikabidhiwa zawadi ya mchoro na Bibi Hoyce Temu kutoka Kitengo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa (UN). Waziri Mahiga alitembelea banda la UN kwenye maonesho ya sabasaba na kupata fursa ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini.
Hivyo makala Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)
yaani makala yote Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mahiga-atembelea-maonesho-ya-42.html
Related Posts :
VIONGOZI WA VIKOSI VYA OPERESHENI NZAGAMBA NA SANGARA SIMAMIENI SHERIA-ULEGANaibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewataka viongozi wa vikosi vya operesheni Nzagamba na Sangara, kusimamia sheria, kanuni, … Read More...
KUONDOA ADHA YA KUKATIKA UMEME,VITUO VYA KUPOOZA NA KUSAMBAZA UMEME VIFANYIWE UKAGUZI WA KILA SIKU ASUBUHI-KALEMANI
Na Zuena Msuya, Mbeya
Mameneja wote wanaosimamia vituo vya kupoza na kusambaza umeme nchini wametakiwa kufanya ukaguzi ( checkup) wa kila… Read More...
DKT TIZEBA AWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KWA USIMAMIZI BORA ULIOPELEKEA KUONGEZEKA KWA UZALISHAJI WA PAMBANa Mathias Canal-WK, Mwanza
Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) amewapongeza wakuu wa mikoa yote nchini inayozalisha pamba, W… Read More...
WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU VIONGOZI KUWATISHA, KUWANYANYASA ASKARI, WATUMISHI WANAOTOA KERO ZAO KATIKA VIKAO VYAKE, AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA GEREZA MBIGIRI MKOANI MOROGORO
Na Felix Mwagara, MOHA-Morogoro
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewataka askari pamoja na watumishi mbalimbali waliopo nd… Read More...
INTRODUCING MC KOBA-NGEKEWA
… Read More...
0 Response to "Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)"
Post a Comment