Loading...
title : MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA.
link : MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA.
MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA.
Mwamba wa habari
Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Dar es salaam na kukabidiwa wilayani Ilala ambapo umezindua miradi sita ya maendeleo yenye tamani ya zaid ishilingi Bilion , 4323,457569.20.
Moja ya miradiiliyo iliyozinduliwa na kuwekewa jiwe la msingi ni pamojana,mirad ya elimu na Afya ,miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Choo cha mtoto wa Kike uliopo shule ya Msingi Ilala, ujenzi wa mradi wa jengo la DMDP,ujenzi wa madarasa na ofisi za walimu katika shule ya msingi Zingiziwa Chanika Dar es Salaam,Hospital ya Miracolo kata ya segerea na ujenzi wa Mbweni ya wanafunzi shule ya secondary Mbondole.
. Akizungumza katika moja ya ya miradi hiyo kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles Kabeho amesema pamoja na serikali ya awamu ya tano kutoa elimu bure amewataka wazazi na walezi kuwapatia mahitaji ya shule watoto wao ikiwemo Daftari na sale za shule.
Aidha katika miradi ya watu binafsi iliyozinduliwa ni pamoja na Hospitali ya Miracolo iliyopo Kata ya Segerea ambapo imeombo kibalikwa serikali kuwa inanunua dawa kutoka bohari ya taifa ambapo Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema ame ameutaka uongozi wa hospitali hiyo mkupeleka maombi yao serikalini iliyaweze kufanyiwa kazi.
Aidha kiongozi wa mbiyo za mwenge amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuwa makini kwa kulinda afya zao na kujikinga na maambkizi ya UKIMWI,kwa mujibu wa taarifa iliyo tolewa na Katibu tawala wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo hali ya maambukizi ya ugonjwa huo bado sinzuri ina takwimu zina onesha kuwa asilimia 2.3 ya watu 516493, waliopima waligundulika kuwa na VVU mwaka 2017 na 2018.
Pamoja hayo kiongozi huyo amewapongeza watumishi wanawake wa Manispaa ya Ilala walijitolea kwa michango yao kujenga choo cha mtoto wakike acho kitasaidia wasichana kutoacha masoma wanapo kuwa Hedhi ambapo kwa mujibu wa Afisa Elimu msingi Elizabeth Thomas cho hicho kimegharimu jumla ya shilingi million 24560, Mwenge wa uhuru leo unakabidhiwa leo asubuhi katika Wilaya ya kigamboni.
Hivyo makala MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA.
yaani makala yote MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhuruwazindua-miradi-yenye.html
0 Response to "MWENGE WA UHURUWAZINDUA MIRADI YENYE TAHAMANI YA ZAIDI YA BILION NNE WILAYANI ILALA."
Post a Comment