Loading...
title : WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA
link : WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA
WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika silaha za jadi alizokabidhiwa na Wazee wa Mila wa Kisukuma katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde mkoani Shinyanga Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wazee wa mila wa Kisukuma baada kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Tinde mkoani Shinyanga Julai 14, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Bw. Terence Little ambaye ni Asset Protection Manager wa Kamapuni ya uchimbaji madini ya Acacia na viongozi wengine wa Kampuni hiyo wakati alipotembelea mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-kasim-majaliwa-aendelea-na.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA"
Post a Comment