Loading...

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO

Loading...
WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO
link : WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO

soma pia


WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO

Wakulima katika eneo la Dakawa Wilayani Mvomero, wameiomba Serikali kuwaongezea eneo ambalo halitumiki kwa shughuli yoyote ile waweze kulitumia kwa kilimo cha mpunga.

Maombi hayo yametolewa baada ya kukamilika kwa ukarabati wa eneo lenye ukubwa wa hekta (2000), ambapo wananchi wamepata hamasa ya kulima baada ya kuona mafaniko ya tokanayo na kilimo cha umwagiliaji.

Akizunguma na waandishi wa habari katika skimu ya Dakawa, Mhandisi wa kanda ya Mororgoro kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Senzia Maeda, amesema Serikali kupitia Tume hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani USAID pamoja na kampuni ya SDM Smith ambayo imesanifu ukarabati wa eneo la awali imeshafanya upembuzi yakinifu kwa Hekta (500) katika hizo hekta (1000) na amesema kuwa makablasha ya zabuni yapo tayari.

“Hatua inayoendelea kwa sasa ni kwa Serikali kuu kupitia Tume kutafuta mfadhili kwa ajili ya kuendeleza hilo eneo.” Alisisitiza Maeda. Na aliongeza kwa kusema kuwa Serikali ilifikia uamuzi wa kuendeleza eneo la Dakawa baada ya kuridhishwa na ukulima wa kisasa

Awali, Akiongea na waandishi wa habari Ofisini kwake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mvomero, Bw. Florent Kyombo amesema pamoja na eneo hilo kuwa katika hatua nzuri ya uendelezwaji, Idara ya kilimo kupitia serikali ya wilaya na wataalam wa kilimo imeweza kuthibiti panya waharibifu wa mazao pamoja na ndege aina ya kwelea kwelea kwa kuharibu mazalio yao yote pamoja na suala zima la kuwasadia wakulima kupata mikopo katika baadhi ya mabenki nchini.

Bw. Arcado Ruhengiza ni mmoja wa wakilima katika skimu ya Dakawa ambapo yeye alisema kuwa endapo serikali itaongeza eneo kwa ajili ya kilimo cha mpunga, itawawezesha wakulima wengi zaidi kulima kisasa na kukuza sekta ya kilimo nchini kutokana na mafanikio waliyoyapata kupitia shamba hilo.

Mhandisi wa kanda ya Mororgoro kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Senzia Maeda, akiongea kuhusu upanuzi wa eneo lenye ukubwa wa Hekta (1000) kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji katika skimu ya Dakawa, wilayani Mvomero.
Ghala la kuhifadhia mazao lililojengwa na serikali katika skimu ya Dakawa wilayani Mvomero, ili kuweza kuwasaidia wakulima kuuza mazao yako kwa bei nzuri.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Bw. Florent Kyombo akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake kuhusu mpango mzuri wa Serikali kwa wakulima wa kilimo cha mpunga kinachofanyika katika skimu ya Dakawa.
Katika Picha, Mkulima Bw. Arcado Ruhengisa akitoa Ombi la Upanuzi wa eneo lenye ukubwa wa Hekta (1000) kwa Serikali kupitia baadhi ya vyombo vya habari, ili wakulima waweze kongeza pato la Taifa, ajira kwa vijana na chakula kupitia kilimo cha umwagiliaji.


Hivyo makala WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO

yaani makala yote WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wakulima-waiomba-serikali-kuwaongezea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO"

Post a Comment

Loading...