Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG, nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Wapili kushoto ni Meneja wa kiawanda hicho Gemin Shoo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyokamuliwa kutokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Gemin Shao.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga, Julai 14, 2018.
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-majaliwa-atembelea-kiwanda_14.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA"
Post a Comment