Loading...
title : WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO
link : WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO
WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO
Mwenyekiti wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) Kamishna mstaafu Suleiman Kova akizungumza katika ufunguzi wa semina ya wastaafu hao ambapo walipatiwa elimu ya kupata mikopo ya kustaafu na benki ya Azania.
Meneja wa huduma za mikopo kutoka benki ya Azania Thobias Samwel akizungumza na wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu.
Wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu iliyotolewa na benki ya Azania wakati wa kikao chao jijini Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Polisi)
Hivyo makala WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO
yaani makala yote WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wastaafu-polisi-wapatiwa-elimu-ya-mikopo.html
0 Response to "WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO"
Post a Comment