Loading...
title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza.
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kitalu cha kuzalisha miche ya Michikichi cha Asasi ya Seed Change katika kijiji cha Simbo kwenye jimbo la Kigoma Vijijini Julai 29, 2018. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi hiyo, Alex Chetkovic
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mazao ya michikichi yaliyokuwa yakikamuliwa kuwa mafuta ya kula wakati alipotembelea Gereza la Kwitanga mkoani Kigoma kujionea kilimo cha michikichi na uzalishaji wa mafuta ya mawese katika gereza hilko Julai 29, 2018. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojiwa na Ufundi, Profesa Joyce Bdalichako, Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamadi Masauni na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba wilayani Uvinza alipokuwa safarini kwenda Uvinza akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma
Wananchi wa Kijiji cha Kazuramimba wilayani Uvinza wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aliposimama kijijini hapa kuwasalimia Julai 29, 2018. Alikuwa njiani kwenda Uvinza kuendelea na ziara ya mkoa wa Kigoma.
(Picha na ofisi ya Waziri MKuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_29.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Wilaya ya Uvinza."
Post a Comment