Loading...

WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI.

Loading...
WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI.
link : WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI.

soma pia


WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI.

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameruhusu uingizaji wa vyavu za kuvulia samaki na dagaa kutoka nje ya nchi baada ya kubaini kuwa viwanda vya kuzalisha nyavu hizo vilivyopo nchini kushindwa kuhimili mahitaji ya soko la ndani na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wavuvi.

Akizungumza katika kikao cha tathmini ya operesheni Sangara 2018 jijini Dodoma, Waziri Mpina amemuagiza Katibu Mkuu- Uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Rashid Tamatama kuhakikisha kuwa katika kipindi cha siku 14 awe amekamilisha kupitia maombi na kuruhusu uingizaji wa nyavu hizo kutoka nje ya nchi. Pia kuweka utaratibu ambao hautaathiri soko la viwanda vya ndani.

Mbali na hilo Waziri Mpina ameigiza wizara yake kuandaa mkakati wa kudhibiti upotevu wa mapato, usimamizi na udhibiti wa rasilimali za uvuvi nchini ili kuondoa mianya yote ya upotevu wa mapato ya Serikali na kuweka ulinzi thabiti wa rasilimali za uvuvi.

Pia ametaka Wizara hiyo kufanya mapitio ya mkakati wa ufugaji wa samaki kwenye maji, kufufua vituo vya kuzalisha vifaranga na kufanya tathmini ya uwekezaji wa sekta binafsi na kuainisha mahitaji ya sasa ili kuongeza uzalishaji utakaochangia kupunguza nguvu ya uvuvi kwenye maziwa na hivyo kutokomeza uvuvi haramu, kuongeza ajira na upatikanaji wa malighafi za viwanda nchini.

Akizungumzia matokeo ya operesheni Sangara 2018, Waziri Mpina alisema jumla ya watuhumiwa 3,998 walikamatwa kwa makosa mbalimbali na kutozwa faini na wengine kufikishwa Mahakamani,

nyavu haramu 575,152, makokoro 11,144 na kamba za kokoro zenye urefu wa mita 859,304 zilikamatwa na kuteketezwa kwa moto.Pia ndoano 1,910, 135 zisizoruhusiwa kisheria ziliharibiwa.



Hivyo makala WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI.

yaani makala yote WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mpina-aruhusu-uingizaji-wa-nyavu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MPINA ARUHUSU UINGIZAJI WA NYAVU ZA KUVULIA SAMAKI NA DAGAA KUTOKA NJE YA NCHI."

Post a Comment

Loading...