Loading...
title : Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya
link : Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya
Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dorothy Mwanyika akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Bw. Mathias Bulugulu (kushoto) na kumuaga Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka(kulia) ambaye awali alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika wizara hiyo leo Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu ofisini Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Mathias Bulugulu (aliyekaa mbele kushoto) na kumkabidhi vitendea kazi leo Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bibi. Dorothy Mwanyika.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Mathias Bulugulu akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya kukaribishwa kwake katika ofisi za Wizara hiyo leo Jijini Dodoma.Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka ambaye awali alikuwa Naibu wa Wizara hiyo, katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bibi. Dorothy Mwanyika.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dorothy Mwanyika(katikati) na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Bw. Mathias Bulugulu (kushoto) wakifurahia jambo mara baada ya kumkabidhi zawadi ya ua kwa ajili ya pongezi na kumuaga Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusilukaambaye awali alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika wizara hiyo leo Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dorothy Mwanyika(katikati) akimkabidhi zawadi na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Bw. Mathias Bulugulu (kushoto) katika hafla fupi ya mapokezi yake na kumuaga aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo ambaye sasa amekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka (kulia) leo Jijini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya
yaani makala yote Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wizara-ya-ardhi-yaahidi-ushirikiano-kwa.html
0 Response to "Wizara ya Ardhi Yaahidi Ushirikiano Kwa Naibu Katibu Mkuu Mpya"
Post a Comment