Loading...

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Loading...
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
link : WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

soma pia


WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

  Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Utalii, Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo ( wa tano kulia) akiwa pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Deograsius Mdamu (  wa sita kushoto)  wakiwa na Baadhi ya Waoneshaji wakifurahia ushindi wa Tuzo katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii. Tuzo hizo ni mshindi wa kwanza katika kipengele maalum cha Best Export Products Exhibitors na Mshindi wa pili katika kipengele cha Trade in Services  katika Maonesho hayo. Tuzo hizo zilikabidhiwa jana na Waziri Mkuu wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania. Majaliwa Kassim Majaliwa katika viwanja vya Sabasaba. ( Picha na Lusungu Helela-MNRT)
 Muonekano mpya wa Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii sehemu ya mapokezi katika Maonesho ya 42 ya  Biashara ya Kimtaifa ya Dar es Salaam .Banda la Wizara limekuwa miongoni mwa mabanda yenye mvuto wa kipekee kutokana na utofauti wake  wa uwepo wa wanyamapori hai kama vile Simba, Chui , Chatu, Nyati, ndege wa aina mbalimbali na wale watakaopenda kuona wanyamapori hao kiingilio ni shilingi 1,000 kwa watu wazima na    500 kwa watoto wadogo. ( Picha na Lusungu Helela-MNRT)
  Baadhi ya Waoneshaji wakifurahi ushindi wa Tuzo walizokabidhiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassimu Majaliwa  katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.


Hivyo makala WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

yaani makala yote WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wizara-ya-maliasili-na-utalii-yanyakua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KWENYE MAONESHO YA SABASABA"

Post a Comment

Loading...