YANGA BADO IPO SANA - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA BADO IPO SANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
YANGA BADO IPO SANAlink :
YANGA BADO IPO SANA
YANGA BADO IPO SANA
Na John Luhende
Mwambawahabari
Wanachama na mashabiki wa Club ya Yanga wametakiwa kuwa na umoja kushangilia timu yao ambapo ina tarajiwa kucheza mechi na timu ya Gormahia ya Kenya.
Akizungumza na waandishi wa habari Msemaji wa club Dimas Ten, amesema Yanga inatarajiwa kushuka dimbani kukipiga na timu ya Gormahia siku ya Jumapili na kuwakamata wazi kuwa kiingilio kitakuwa ni shilingi 7000 Vip na 3000 kwa kawaida.
Aidha amesema mchezaji timu ya Singida United Feisal Salum Abdallah imekubali kumwachia mchezaji huyo iliachezee timu ya Yanga.
Mapema mwezi huu Feisal , alizua sintofahamu baada ya kutambulishwa na klabu mbili katika siku moja, asubuhi Singida United na jioni Yanga, wote wakisema wamemsaini kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka JKU ya Zanzibar.
"Ziko taarifa nyingi kuhusu wachezaji wetu nataka niwaelezetukuwa siku chache tutatoa taarifa rasmi" Amesema
Baada ya kujiuzulu Sanga, Kamati ya utendaji kwa kushirikiana na bodi ya wadhamini imemteua Omar Kaya kuwa Katibu mkuu atakaye simamia shughuli zote ikiwemo usajili
Akizungumzia kuhusu nafasi zilizo achwa wazi na viongozi waliojiuzulu Amesema kamati bado inashughulikia kuhusu kuziba nafasi hizo.
Hivyo makala YANGA BADO IPO SANA
yaani makala yote YANGA BADO IPO SANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA BADO IPO SANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/yanga-bado-ipo-sana.html
0 Response to "YANGA BADO IPO SANA"
Post a Comment