Loading...

YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO

Loading...
YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO
link : YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO

soma pia


YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO

Na Agness Francis,Globu ya Jamii

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Dismas Ten ametoa wito kwa mashabiki na wanachama wa Yanga kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Taifa katika mchezo wa marudiano dhidi ya Gor Mahia ya nchini Kenya.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Ten amesema kuwa  Mchezo  utakapigwa siku ya  Jumapili katika Dimba la Uwanja wa Taifa ambapo utaanza  majira ya saa moja usiku.

Katika muendelezo wa Michuano hiyo ya Shirikisho barani Afrika mpaka sasa Yanga haijafanikiwa kupata ushindi hata mmoja katika Kundi D lenye timu za USMA Alger ya Algeria, Gor Mahia ya Kenya, Rayon Sports ya Rwanda.

Mchezo uliopita julai 18 nchini Kenya  mwaka huu, Yanga haikuweza kufurukuta dhidi ya Gor mahia ambapo ilikubali kichapo cha mabao 4-0

Rekodi hiyo mbaya kwa Yanga imewafanya klabu hiyo ibiruze mkia katika kundi lao kwa alama 1, wakati vinara wa Kundi hilo wakiwa Gor Mahia wenye alama 5, wakifatiwa na Rayon Sports ya Rwanda alama 5, huku nafasi ya tatu ni USMA Alger  akiwa na alama 4.

"Kikosi  kimekita   kambi yake  Mkoni Morogoro na leo walikuwa mazoezini katika uwanja polisi katika mandalizi ya mechi hiyo, Wachezaji wameaahidi kushinda kuondoka na alama nyumbani 3 ili kufika pazuri zaidi "amesema Ten

Mchezo huo utakaokuwa wa aina yake na wenye mvuto, kiingilio kitakuwa  Shilingi 7000 kwa VIP na 5000 kwa viti vya kawaida.


Hivyo makala YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO

yaani makala yote YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/yanga-gor-mahia-kucheza-jumapili-mchezo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA, GOR MAHIA KUCHEZA JUMAPILI MCHEZO WA MARUDIANO"

Post a Comment

Loading...