Loading...

3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA

Loading...
3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA
link : 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA

soma pia


3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA

Jumla ya walengwa 3,955 wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF wanaendelea kunufaika na mpango huo katika Manispaa ya Shinyanga.

Hayo yamebainishwa jana Agosti 9,2018 na Mratibu wa Kunusuru Kaya Maskini - TASAF Manispaa ya Shinyanga Octavina Kiwone akizungumza na waandishi wa habari.

Kiwone alisema Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini katika manispaa ya Shinyanga ulianza kutekelezwa mwaka 2015 ukiwa na walengwa 4,244 ambao hata hivyo walipungua kutokana na wengine kufariki na wengine tuliwaondoa kwa kukosa sifa za kuwa kwenye mpango lakini mpaka sasa tuna walengwa 3,955,

"Tangu mwaka 2015 mpaka sasa tumepokea fedha za serikali jumla ya shilingi bilioni 3,fedha ambazo tumewapa walengwa ni shilingi bilioni 2.7 na tayari zimewafikia walengwa ambapo fedha hizi zinawasaidia kwa sababu wanapewa fedha kisha kufundishwa namna ya kutumia fedha hizo",alifafanua.

Alieleza kuwa vipaumbele ni kuhakikisha mlengwa anapata milo mitatu,huduma bora za afya ambapo tunahamasisha wawe na bima za afya, aweze kuhudumia watoto wake na asikose mahitaji madogo madogo na wawe na miradi ya uzalishaji mali kwa sababu serikali haitatoa fedha milele kwa watu wale wale kwani ina wahitaji wengi sana.

"Tunahitaji walengwa waliopo kwenye mpango huu wazitumie hizi fedha zinazotolewa na serikali kujikwamua kimaisha, tunategemea baada ya miaka mitatu tumkute mlengwa akiwa na kitu ambacho kitamfanya aishi,aweze kutoka kwenye hali aliyokuwa nayo kabla ya mpango hu wa kunusuru kaya maskini",aliongeza Kiwone.

"Kuna walengwa wanafanya vizuri sana,yaani unaona kabisa huyu anachukia kuwa maskini kwa kujitahidi kutumia fedha hizi kujikwamua kimaisha lakini changamoto iliyopo ni baadhi ya watu kutumia vibaya fedha na kushindwa kufikia matarajio yaliyokusudiwa",alisema.
Mratibu wa Kunusuru Kaya Maskini - TASAF Manispaa ya Shinyanga Octavina Kiwone akizungumza na waandishi wa habari.- Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog.KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>



Hivyo makala 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA

yaani makala yote 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/3955-waendelea-kunufaika-na-mpango-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "3,955 WAENDELEA KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI - TASAF SHINYANGA"

Post a Comment

Loading...