Loading...
title : AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA
link : AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA
AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinapewa fedha nyingi kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika kutekeleza miradi ya maendeleo katika Sekta ya Nishati, Maji, Kilimo na Barabara ili kuchochea uchumi na kutimiza malengo ya kuwa nchi yenye uchumi wa kati unaotegemea viwanda ifikapo mwaka 2025 ambapo mpaka sasa Benki hiyo imewekeza nchini zaidi ya shilingi trilioni 4.4.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeiwakilisha Marekani Bw. J. Steven Dowd katika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, alieleza kuwa Tanzania inapata fedha nyingi za kutekeleza miradi kutoka Benki ya AfDB kutokana na vipaumbele vya Benki hiyo kuendana na vipaumbele vya Serikali ya Tanzania katika Awamu ya Tano ya Uongozi wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
“Miradi inayotekelezwa kwa fedha za AfDB ni pamoja na mradi wa kusafirisha umeme kutoka Mbeya, Sumbawanga hadi Nyakanazi utakao gharimu shilingi dola za Marekani milioni 123, miradi mingine ni ile ya ushirikiano na Sekta Binafsi (Dola Milioni 57.6m), ujenzi wa barabara ya Nyakanazi mpaka Burundi kupitia Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma na pia mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato Jijini Dodoma ambao AfDB imeahidi kutoa shilingi bilioni 200 kwa kuanzia”, alieleza Dkt. Mpango.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kulia, akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeiwakilisha Marekani Bw. J. Steven Dowd (wa pili kushoto) Nje ya jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa AfDB Dkt. Alex Mubiru na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulikia nchi nane za Afrika Dkt. Nyamajeje Weggoro.
Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Mkurugenzi Mtendaji wa wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeiwakilisha Marekani Bw. J. Steven Dowd ukiendelea katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), akijadiliana jambo na Mwakilishi Mkazi wa AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru (kushoto) na katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulikia nchi nane za Afrika Dkt. Nyamajeje Weggoro.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akisalimiana na Mgeni wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeiwakilisha Marekani Bw. J. Steven Dowd alipowasili katika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam katika Mkutano ulioangazia ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania naBenki hiyo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>

Hivyo makala AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA
yaani makala yote AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/afdb-yatekeleza-miradi-ya-sh-trlioni-44.html
0 Response to "AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA"
Post a Comment