Loading...
title : ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO
link : ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO
ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO
Mkaguzi wa Ukaguzi wa mabasi katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo, Ibrahim Samwix akitoa maelekezo kwa askari usalama barabarani katika kituo cha ukaguzi wa mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo , Nuru Hussein akimpa maelekezo dereva wakati wakifanya ukaguzi mabasi kutuo hicho, jijini Dar es Salaam.
Askari wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo , Nuru Hussein akiwa katika uvungu wa basi katika kituo cha ukaguzi wa mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Askari wa Usalama Barabarani Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo , Nuru Hussein akiwa katika uvungu wa basi akimpa maelekezo fundi wa basi hilo baada ya kubaini ubovu moja ya kifaa katika basi hili katika kituo cha ukaguzi wa mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO
yaani makala yote ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/askari-wakifanya-ukaguzi-wa-mabasi.html
0 Response to "ASKARI WAKIFANYA UKAGUZI WA MABASI KATIKA KITUO CHA UBUNGO"
Post a Comment