Loading...

Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Loading...
Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje
link : Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje

soma pia


Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Mhe. Balozi Dkt.Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (kushoto), akisalimiana na Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania (kulia) walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo baina ya Viongozi wa Wizara na Balozi Mohamed yalijikita katika kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Mataifa haya mawili (Tanzania na Saudi Arabia).

Aidha viongozi hao wamekubaliana kukamilisha maandalizi ya kongamano la biashara litakalo husisha wafanyabiashara na wadau wengine kutoka Saudi Arabia na Tanzania. Balozi Mohamed amebainisha kuwa ujumbe kutoka Saudi Arabia utakuwa na wafanyabiashara zaidi ya 40 wakiongozwa na Waziri wa Biashara wa Saudi Arabia.

Aidha Balozi Mohamed ameonesha nia yakuanzisha majadiliano kati ya Tanzania na Saudi Arabia ya kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Saudi Arabia kwa lengo la kukuza biashara baina ya nchi hizi mbili. 
Mhe. Balozi Dkt.Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Bw. Suleiman Saleh Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati (wa kwanza kulia) na Bw. Hangi Mgaka Afisa Mambo ya Nje (wa kwanza kushoto) 
Bw. Suleiman Saleh Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati, akisalimiana na Mhe. Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam 
Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisalimiana Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam 
Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo na Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania (wa pili kulia) .


Hivyo makala Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje

yaani makala yote Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/balozi-wa-saudi-arabia-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje"

Post a Comment

Loading...