Loading...
title : Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB).
link : Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB).
Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB).
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi, akiwakaribisha katika benki hiyo, wateja waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Pia amefafanua mambo mbalimbali kuhusu kuwahudumia wateja wao bila ukiritimba wowote watashirikiana pamoja. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) wakimsikiliza kwa makini Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi,hayupo pichani, wakati wa kuwakaribisha katika Benki ya TPB
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sabasaba Moshingi,kushoto akisalimiana na wateja waliokuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB)na kuwakaribisha rasmi.Hafla hio ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Hivyo makala Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB).
yaani makala yote Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB). Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB). mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/benki-ya-tpb-plc-yawakaribisha-wateja.html
0 Response to "Benki ya TPB Plc yawakaribisha wateja waliokuwa benki ya wanawake Tanzania (TWB)."
Post a Comment